Taarifa muhimu kwa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne, 2020!



 Taarifa muhimu kwa Wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne, 2020! 


Waziri Jafo ametangaza utaratibu wa wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2020 kubadilisha Tahasusi(Combination) za Kidato cha Tano na Kozi za Vyuo vya Elimu ya Ufundi kwa njia ya mtandao kwenye mfumo wa Kieletroniki wa uchaguzi wa Kidato cha Tano na vyuo mwaka 2021.


Wanafunzi wanaotaka kufanya mabadiliko wanatakiwa kuingia kwenye mfumo wa uchaguzi wa wanafunzi unaopatikana katika anuani ya selform.tamisemi.go.tz

Amesema Waziri Jafo



Zoezi hili litafanyika kuanzia tarehe 29/03/2021 hadi tarehe 11/04/2021 saa sita usiku.

Post a Comment

0 Comments