MATOKEO YA USAILI WA VITENDO DEREVA DARAJA LA II-WMA
Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na hatua inayofuata ya usaili wa mahojiano utakaofanyika tarehe 25-05-2021 katika Ofisi za Wakala Vipimo-Dar es Salaam saa moja kamili asubuhi.
- Wasailiwa wanatakiwa kufika na vyeti vyao halisi.
0 Comments