Mercy Masika – Nivute (Draw Me Close) Lyrics
[Verse 1]
Nimeishi kwa nyumba yako,
Miaka mingi
Lakini sa nataka kwako
Kusongea zaidi
Upeneayo nami nipende
Sauti nifahamu zaidi
Nione kama uonavyo
Upeneayo nami nipende
Sauti nifahamu zaidi
Nione kama uonavyo
[Chorus]
Nivute we Baba, Karibu na wewe
Naulenga moyo wako
Baba kanna Daudi
Njia zangu maisna yangu,
Yalingane na neno lako
Njia zangu maistna yangu,
Yakupeneeze, Oh, Oh
[Verse 2]
Nimeamua maisha yangu
Kwa utukufu wako
Yesu ukiwa nami, Oh wanib0dilisrta
Kama samaki ahitaji maji
Ndivyo nakuhitaji
Wewe ndiwe lengo langu we
Kama samaki ahitaji maji
Ndivyo nakuhitaji
Wewe ndiwe lengo langu we
[Chorus]
Nivute we Baba, karibu na wewe
Naulenga moyo wako
Baba kanna Daudi
Njia zangu maisna yangu,
Yalingane na neno lako
Njia zangu maistna yangu,
Yakupeneeze, Oh, Oh
{Nivute we Baba, karibu na wewe
Naulenga moyo wako
Baba kanna Daudi
Njia zangu maisna yangu,
Yalingane na neno lako
Njia zangu maistna yangu,
Yakupeneeze, Oh, Oh} [x2]
0 Comments