SIKU ZA KUOMBA KAZI TAMISEMI ZAONGEZWA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe @ummymwalimu ameongeza siku 5 kwa waombaji wa kazi za Elimu na Afya hivyo kwa sasa mwisho wa Kuomba Ajira hizo ni tarehe 28 Mei 2021 na sio tarehe tarehe 23 Mei, 2021 kama ilivyotangazwa hapo Awali.
0 Comments