Tangazo la kuitwa kazini katika ofisi mbalimbali za Serikali (275 WATAKIWA KURIPOTI KAZINI)

 

275 WATAKIWA KURIPOTI KAZINI

Tafadhali tembelea sehemu ya “Placement” uone  Tangazo la kuitwa kazini  lililotolewa tarehe 17/5/2021 lenye majina ya Wasailiwa wa kada tofauti wapatao (275) waliofaulu saili mbalimbali zilizoendeshwa na Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma ambao wamepangiwa  vituo  vya kazi katika Ofisi za Umma zifuatazo;-

  1. Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH)
  2. Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)
  3. Bodi ya Korosho Tanzania (CBT)
  4. Taasisi ya Teknolojia  Dar Es Salaam (DIT)
  5. Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE)
  6. Hospitali ya Kikristo Kilimanjaro (KCMC)
  7. Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH)
  8. Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS)
  9. Wakala wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT)
  10. Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
  11. Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa Kazi (OSHA)
  12. Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA)
  13. Wakala wa Nishati Vijijini (REA)
  14. Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI)
  15. Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI)
  16. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)
  17. Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tari)
  18. Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori  Tanzania (TAWA)
  19. Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA)
  20. Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
  21. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
  22. Mamlaka ya Elimu na Mafunzo (VETA)
  23. Chuo cha Maji (WI)
  24. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
  25. Wizara ya Maliasili na Utalii
  26. Wizara ya Fedha na Mipango
  27. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
  28. Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
  29. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Mtwara

(MTUWASA)

  1. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Tabora

(TUWASA)

  1. Tume ya Haki za Binadamu na Utawala  Bora
  2. Tanesco – Kanda ya Dar es Salaam na Pwani
  3. Chuo cha Uongozi wa Mahakama (IJA)
  4. Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT)
  5. Shirika la Utangazaji  la Taifa (TBC)
  6. Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA)
  7. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)
  8. Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB)
  9. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Manyara na Mbeya
  10. Halmashauri ya Manispaa ya Musoma
  11. Halmashauri ya Mji wa Kasulu
  12. Halmashauri ya Wilaya Ya Bukoba, Bukombe,  Busega, Busokelo, Geita, Igunga, Kaliua, Kilwa, Kishapu, Lushoto, Magu, Morogoro, Mpanda, Mwanga, Nanyamba, Urambo, Ngara, Njombe, Nzega, Simanjiro, Singida, Tunduru, Uyui, Wanging’ombe, Kisarawe, Pangani, Bahi na Wilaya ya  Same.

Post a Comment

0 Comments