MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA ZA MOH, MOF,NZEGA DC,LITA,WIZARA YA ARDHI, WIZARA MIFUGO NA UVUVI, TEMESA,NIT & TFSA

 


Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
  • Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao

Post a Comment

0 Comments