Ozil Apewa Jezi Ya Samatta

 


Kiungo Mesut Ozil kwa sasa amekabidhiwa rasmi jezi namba 10 katika klabu ya Fenerbahce aliyokuwa akiivaa mshambuliaji wa Tanzania Mbwana Samatta msimu uliopita. 


Mbwana Samatta katika kipindi hiki cha maandalizi ya msimu anavaa jezi namba 15 ambayo huenda ndiyo itakuwa jezi yake rasmi katika msimu mpya.

Post a Comment

0 Comments