TANZIA: MAALIM SEIF SHARIF HAMAD AFARIKI DUNIA

 


Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amefariki Dunia, Taarifa iliyotolewa na Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi imeeleza kuwa Maalim Seif amefariki Dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu. 

Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi ametangaza siku saba za maombolezo kufuatia kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.

Post a Comment

0 Comments