Mshambuliaji wa DR Congo Kazadi Kasengu (29) ambaye kwa sasa anaitumikia klabu ya Wydad AC ya Morocco anakaribia kujiunga Yangasc kwani mazungumzo na Wydad AC yamekamilika.
Kasengu alijiunga na Al Masry kwa mkopo Novemba 2020 na baadae kujiunga na Wydad lakini anatarajiwa kutua nchini Tanzania kwa msimu wa 2021/2022.
0 Comments