Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi ni moja kati ya Halmashauri nane za wilaya za Mkoa wa Kagera. Halmashauri hii ilianzishwa tarehe 1, Julai, 2007 baada ya Halmashauri ya wilaya ya Bukoba kugawanywa katika halmashauri mbili (Halmashauri ya wilaya ya Missenyi na Halmashauri ya wilaya ya Bukoba)
0 Comments