Mkali wa Bongofleva @DiamondPlatnumz ambae bado yupo Marekani toka alipokwenda kuhudhuria BET Awards amekutana studio na Legendari @snoopdogg Los Angeles, California.
Diamond ambae alisaini mkataba wa ushirikiano na Label maarufu ya Warner Music May 2021 Nchini South Africa, ameandika yafuatayo baada ya kuweka picha hizi ———> “Sikiliza, jifunze kutoka kwa Wafalme na utapata zaidi”
Baada ya kushiriki BET Awards Platnumz alisema atabaki Marekani kwa muda ili kuiandaa album yake mpya.
Picha na Diamond Platnumz.
0 Comments