Taarifa zinasema Uongozi wa Yanga umemuongezea mchezaji huyo mkataba wa miaka 2 kuendelea kuwa mchezaji wa timu hiyo baada yakuumia akiitumikia timu hiyo.
Mchezaji huyo ambae kwasasa yuko jijini Daresalaam ameendelea na mazoezi binafsi baada yakuruhusiwa na madaktari waliokuwa wanamuuguza kwakipindi chote
0 Comments