Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo haijaeleza sababu hasa za klabu hiyo kufikia maamuzi hayo hasa kwa baadhi ya wachezaji ambao wanaonekana walikuwa bado muhimu kikosini hapo.
Timu hiyo imekata ticket ya kuiwakilisha Tanzania katika kombe la shirikisho barani Africa msimu huu pamoja na Azam FC.
0 Comments