PICHA : Simbda sc Kwenye Uwanja Wa Lake Tanganyika Leo


Wachezaji wa klabu ya  SimbaSC leo Asubuh Julai 24, 2021 wametembelea uwanja wa Lake Tanganyika ambao utatumika kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Federation Cup dhidi ya Yanga SC.





Post a Comment

0 Comments