MAUYA APEWE JEZI YANGU.


Wakati matarajio ya wengi ikiwa ni kuona jezi namab8 aliyokua akiivaa kiungo fundi, Haruna Niyonzima yakiwa ni kukabidhiwa kwa kiungo Mzanzibari, Feisal Salum hali imekua tofauti baada ya kiungo huyo kuaga Yanga na kupendekeza Zawadi Mauya kupewa jezi yake namba 8 na kuelezea sababu.


Niyo, amesema kuwa, anavutiwa sana na uchezaji wa kiungo huyo.

Post a Comment

0 Comments