Kikosi cha timu ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 23 kilichotajwa leo na Kocha Kim Paulsen


 

Kikosi cha timu ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 23 kilichotajwa leo na Kocha Kim Paulsen kwa ajili ya michuano ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge U23.


1. Metacha Mnata – Yanga.
2. Daniel Mgore – Biashara United.
3. Wilbol Maseke – Azam.
4. Israel Mwenda – KMC.
5. Nickson Kibabage – Youssoufia (Morocco)
6. Lusajo Mwaikenda – KMC.
7. Sospeter Israel – Azam.
8. Oscar Masai – Ihefu.
9. Lucas Kikoti – Namungo.
10. Joseph Mkele – Mtibwa Sugar.
11. Rajabu Athuman – Gwambina.
12. Meshack Abraham – Gwambina.
13. Reliants Lusajo – Namungo.
14. Erick Mwijage – Kagera Sugar.
15. Andrew Simchimba – Ihefu
16. Abdul Suleiman – Coastal Union.
17. Pascal Msindo – Azam.
18. Abdulrazack Hamza – Mbeya City.
19. Abdulmajid Mangalo – Biashara United.
20. Yusuph Mhilu – Kagera Sugar.

Kwa mujibu wa kanuni za mashindano, timu zinaruhusiwa kuwa na wachezaji watatu wenye umri zaidi ya miaka 23, na hiyo ndiyo sababu ya wachezaji Sospeter Israel, Reliants Lusajo na Yusuf Mhilu.

Kikosi hiki kitaingia kambini Julai 19, 2021 na michuano itaanza rasmi Julai 18, 2021 nchini Ethiopia.

Post a Comment

0 Comments