KIKOSI cha Simba SC kimerejea Dar es Salaam leo kutoka Kigoma, ambako jana walitwaa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya watani wa jadi, Yanga SC Uwanja wa Lake Tanganyika mjini humo
Wakati huohuo Kikosi cha Yanga SC nacho kimerejea mapema leo kutoka Kigoma, ambako jana walifungwa 1-0 na Simba SC katika fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) Uwanja wa Lake Tanganyika mjini humo.
0 Comments