TANGANZO LA AJIRA YA KATIBU MKUU SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU ZANZIBAR - ZFF
SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU ZANZIBAR ZFF LINAPENDAAK UWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA ZANZIBAR NAFASI YA AJIRA YA KATIBU MKUU - ZFF.
SIFA ZA MUOMBAJI KAMA IFUATAVYO:
1. AWE NI MZANZIBAR.
2. AWE NA ELIMU ISIOPUNGUA DEGREE YA KWANZA.
3. AWE NA UZOEFU WA KAZI USIOPUNGUA MIAKA MITATU.
4. AWE NA UMRI KUANZIA MIAKA 20 NA KUENDELEA.
5. ASIWE MUAJIRIWA WA SERIKALI AU TAASISI NYENGINE YOYOTE.
MAOMBI HAYO YAAMBATANISHWE NA VITU VIFUATAVYO:
i. WASIFU WA MUOMBAJI (CV)
ii. PICHA MBILI ZA PASSPORTS SIZE
ii. VIVULI VYA NAKALA VYA VIELELEZo VINAVYOENDANA NA MAOMBI YAKE.
iv. KIVULI CHA KADI YA MZANZIBAR MKAAZI PAMOJA NA BARUA YA SHEHA WA SHEHIA HUSIKA ANAYOISHI.
MAOMBI YAWASILISHWE KUANZIA TAREHE 15/07/2021 HADI TAREHE 23/07/2021 KATIKA OFISI ZA ZFF-AMAAN UNGUJA NA YA KWA UPANDE WA PEMBA YAWASILISHWE OFISI YA ZFF GOMBANI PEMBA.
MAOMBI YOTE YAWASILISHWE KWA ANUANI KAIMU KATIBU MKUU SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU ZANZIBAR - ZFF
0 Comments