TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI BUKOBA

 


TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

Kutokana na Tangazo la nafasi za kazi lenye Kumb. Na. KGR/BDC/s.2/70/20 la tarehe 03, Juni, 2021 Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Bukoba anatarajia kuendesha Usaili na hatimae kuwapangia vituo vya kazi waombaji watakaofaulu usaili.

Wasailiwa walioitwa kwenye usaili wanapaswa wazingatie mambo Muhimu yafuatayo;

  • Usaili utafanyika tarehe 02/08/2021 kuanzia saa 1:30 Asubuhi,usaili wa mchujo
  • na tarehe 03/08/2021, usaili wa mahojiano (kwa watakaofanikiwa) katika
  • Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Bukoba.
  • Ukaguzi wa Vyeti utaanza saa 1:30 asubuhi kabla ya muda wa mtihani wa
  • mchujo/usaili wa vitendo kuanza.
  • Kuja na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi. Mfano, Kitambulisho cha mkazi,
  • kupiga kura, hati ya kusafiria n.k
  • Kuja na vyeti Halisi (Original Certificate) na HALALI vya kuanzia kidato cha Nne
  • Sita na Astashahada, kutegemeana na sifa za muombaji.
  • Kuja na cheti Halisi cha kuzaliwa (ORIGINAL BIRTH CERTIFICATE).
  • Testimonials "Provisional Results", "Statement of Resuits" Hati ya matokeo
  • ya kidato cha Nne na Sita (Form IV and Form VI) HAVITAKUBALIKA.
  • Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi.
  • Kwa waombaji ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili,
  • watambue kuwa maombi yao hayakufanikiwa na wasisite kuomba tena
  • mara nafasi za kazi zitakapotangazwa.


BOFYA HAPA KUONA LIST KAMILI YA WALIOITWA KWENYE USAILI.

Post a Comment

0 Comments