TANZIA Ambilikile Mwasapile, maarufu 'Babu wa Loliondo' afariki Dunia

 

Ambilikile Mwasapile maarufu kama Babu wa Loliondo amefariki dunia akipatiwa matibabu Kituo cha Afya cha Digodigo baada ya kuzidiwa gafla leo Mchana. Mwili wake umehifadhiwa Hospitali ya Wilaya ya Ngorongoro, Waso.

Babu wa Loliondo aliugua muda mrefu na kujitibu kwa miti shamba, alipoenda hospitali akiwa amechelewa.

Babu wa Loliondo alipata umaarufu kwa dawa yake aliyodai inatibu magonjwa yote.

Post a Comment

0 Comments