Yanga Kuweka Kambi Morocco

 


Wakati tukielekea kutamatisha msimu wa 2020/2021 leo taarifa kutoka nchini Morocco zinasema huenda klabu ya Yanga ikaweka Kambi yake ya muda mfupi kujiandaa na msimu mpya nchi Morroco.

Katika kuimarisha mahusiano na klabu ya Raja Casablanca ,Eng.Hersi amekwenda nchini humo kuangalia namna bora ya maadalizi ya awali ya nini kitafanyika Endapo klabu yao itakapoelekea nchini humo.

Ikumbukwe kuwa Yanga ni miongoni mwa vilabu vitakavyoiwakiliaha nchi ya Tanzania kwenye michuano ya Klabu bingwa Afrika pamoja na Simba.


Post a Comment

0 Comments