Wasailiwa waliochaguliwa (Selected) kuendelea na hatua nyingine ya usaili wanatakiwa kuzingatia muda na mahali kwa kufanyia usaili kama ilvyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.
Kila Msailiwa anatakiwa kufika na Kitambulisho pamoja na vyeti halisi (Original Certificates)
0 Comments