MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO ULIOFANYIKA TAREHE 16-05-2021 (DUCE)



Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na hatua inayofuata ya usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

MUHIMU:
Wasailiwa kwa kada za DEREVA DARAJA II na PILOT TUTOR/ INSTRUCTOR II watakuwa na makundi ya usaili kwa siku tofauti, hivyo basi wote wanatakiwa kuangalia tarehe za kufanya usaili wa huo kama zilivyoainishwa kwenye matokeo yao ya usaili kwenye tangazo hili.

Wasailiwa wanatakiwa kufika na Vitambulisho pamoja na vyeti vyao halisi.

Post a Comment

0 Comments