Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Institute of Adult Education (IAE), Taasisi ya Sanaa Bagamoyo (TASUBA), Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA), Tanzania Food and Nutrition Centre (TFNC), Tanzania Railways Corporation (TRC), The Land Transport Regulatory Authority (LATRA),Muhimbili National Hospital (MNH), Tanzania Agricultural Research Institute(TARI),Wizara ya Mifugo na Uvuvi, National Audit Office (NAOT), Tabora Urban Water Supply and Sewerage Authority (TUWASA), Arusha Technical College(ATC), Wizara ya Fedha na Mipango (MOF), Halmashauri ya Wilaya Pangani,Halmashauri ya Wilaya Meru, Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua, Katibu Tawala wa Mikoa Shinyanga, Tengeru Institute of Community Develoment (TICD), Tanzania Insurance Regulatory Authority (TIRA) na Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 26 Juni, 2021 hadi 30Juni, 2021 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
0 Comments