Vilabu vya Mtibwa Sugar na Coastal Unions zimefanikiwa kubaki ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya kushinda kwa matokeo ya Jumla na Vilabu vya Pamba SC ya Mwanza na Trans Camp ya Dar zimebaki ligi daraja la kwanza.
-Mtibwa Sugar imefanikiwa kubaki ligi kuu ya Tanzania Bara kwa jumla ya matokeo (4-2) baada ya mchezo wa leo kufungwa kwa goli moja kwa bila (1-0) huku mchezo wa mkondo wa kwanza ilishindwa kwa magoli manne kwa moja (4-1)
-Coastal Unions yenyewe ibaki ligi kuu baada ya kushinda kwa jumla ya magoli manne kwa tatu(5-3) baada ya leo kushinda kwa magoli mawili kwa moja (3-1) huku mchezo wa mkondo wa kwanza timu hizo zilitoa sare ya Kufungana magoli mawili kwa mawili (2-2).
FT' Mtibwa Sugar 0-1 Trans Camp Agg (4-2)
FT' Coastal Unions 3-1 Pamba SC Agg (5-3)
0 Comments