Imeisha Hiyo, Prison Yamnasa Mrithi Wa Kisubi



-Klabu ya Tanzania Prisons imekamilisha usajili wa golikipa Aron Kalambo kutoka Dodoma jiji kwa mkataba wa mwaka mmoja. Kalambo anachukua nafasi ya Jeremiah Kisubi ambaye amejiunga na Simba SC.

Post a Comment

0 Comments