MATOKEO YA USAILI WA MCHUJO KADA ZA FUNDI SANIFU DARAJA LA II (HYDROJIOLOJIA,HYDROLOJIA & WATER RESOURCES) ULIOFANYIKA TAREHE 24-07-2021

 


Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wa vitendo wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
  • Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao

Post a Comment

0 Comments