Tetesi za Usajili Tanzania Bara

 



  1. Klabu ya Yanga ipo katika hatua za mwisho za kumalizana na klabu ya As Vita Club ya DR Congo kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji wao hatari Fiston Kalala Mayela mwenye umri wa miaka 27 ambaye ni pendekezo la kocha mkuu wa klabu ya Yanga Nesreddine Nabi.
  2. Klabu ya APR FC ya Rwanda ipo kwenye mipango ya kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Simba Sc Medie Kagere ili kujiweka sawa katika eneo la ushambuliaji kuelekea kwenye msimu mpya.
  3. Klabu ya Yanga iko mbioni kukamilisha usajili wa mlinda lango wa klabu ya Aigle Noir ya Burundi Mtanzania Manungulilo Rumbuksya.
  4. Ni Fiston Mayele mshambuliaji wa As Vita Club Kutua kwake Yanga Sc ni jambo la muda tu, tukutane kwenye wiki ya Mwananchi

Post a Comment

0 Comments