MATOKEO YA USAILI WA VITENDO KADA YA TECHNICIAN-GEOGRAPHICAL INFORMATION SYSTEM (GIS)-TANESCO ULIOFANYIKA TAREHE 23-07-2021

 


Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.

  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
  • Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificates)
  • Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vitambulisho vyao

Post a Comment

0 Comments