Mukoko Tonombe amewaomba radhi Yanga

 


Kiungo wa kimataifa wa DR Congo na klabu ya Yanga Mukoko Tonombe amewaomba radhi mashabiki pamoja na viongozi na bechi la ufundi kwa kilichotokea kwenye mchezo wa fainali uliochezwa jana kwenye mchezo dhidi Simba.

Mukoko amesema kuwa hakukusudia Kufanya faulo hiyo ili kupewa kadi nyekundu ambayo ilikuwa sababu ya timu ya kufungwa mchezo huo. Pia amesema anaipenda sana timu ya Yanga na ataendelea kuipambania timu hiyo.







Post a Comment

0 Comments