Sven Amvuta Chama Morocco

 


Baadhi ya waandishi wa habari wa Morocco wameripoti tetesi za kiungo wa SimbaSC Tanzania na Timu ya taifa ya Zambia Clatous Chota Chama (30) atasaini AS FAR kuungana tena na mkufunzi wa zamani Sven Vandenbroeck.

Chama ni miongoni mwa wachezaji walikua katika kiwango bora kwa misimu ya hivi karibuni na kama dili ikikaa sawa huenda akaungana nakocha wake wa zamani ambaye wakati akikinoa kikosi cha Simba aliibuka kua mchezaji bora wa VPL

Post a Comment

0 Comments