Uongozi wa klabu ya Yanga SC umeshitushwa na chaguo la mwamuzi wa kati Ahmed Arajiga wa Manyara kuchezesha mchezo wa fainali ya kombe la shirikisho (ASFC) dhidi ya Simba mchezo ambao utachezwa Jumapili July 25 Kigoma
Yanga inaiomba TFF na menejimeti ya mashindano kutafakari juu ya uamuzi wa kumtumia mwamuzi huyo kwenye mchezo wa fainali kwani mashaka na hofu yao kwa mwamuzi huyo ni kuchezesha mechi za Simba kwenye mchezo wa robo, nusu na sasa amepangwa kwenye fainali.
0 Comments