Moja Ya Maneno Mazuri Uliyotuachia ni hotuba hii, ambayo Ulituambia Tutakukumbuka kwa Uliyoifanyia Nchi Yako, ulijitoa Kwa yote Kuiletea Nchi yako Maendeleo. Ulisisitiza Mshikamo, Tusibaguane Kwa Dini wala Ukabila. Mimi Kijana wako Natumia Maneno Yako Kukuenzi, na Kuwasisitiza Watanzania Wenzangu Kuyafanyia kazi yote uliyotuambia. Allah akuweke mahala pema Peponi Baba JPM.
Written & Performed by: Alikiba Audio
Produced By Yogo Beats
0 Comments