Audio | Ibrah Nation - Forget You (Bensoul Cove) | Download
Bensoul forget you lyrics|
I'll never forget you
I'll never pretend to
Tumepita kwenye jua
Tumepita kwenye mvua
You've always been so true since you came through
Ni heri ungejua wengine sitojua
Saa zile mi hukuwazanga sana
Picha zinakuwanga za maana
Yule anaepanganga ni maulana
Na so siwezi ngoja
Mpaka vile tutaonana
Na na na na na na na na na na na
Mpaka vile tutaonana
Na na na na na na na na na na na
Ohh
Na na na na na na na na na na na
Ohh
Na na na na na na na na na na na
Show me that greenlight
Tell me you're alright
Je uko na dawa umepiga shower
Deep in this dark night
I'll be your moonlight
Hata bila power tutakuwa sawa
Na kama unaniwazanga sana
Mi na wewe tunafanana
Najua pia wewe unang'ang'ana
Na so siwez ngoja
Mpaka vile tutaonana
Na na na na na na na na na na na
Mpaka vile tutaonana
Na na na na na na na na na na na
Ohh
Na na na na na na na na na na na
Ohh
Na na na na na na na na na na na
I'll never forget you
Oh oh
I'll never pretend to
Yeah hey
Ooh oh
Na na na na na na na na na na na
I'll never
Na na na na na na na na na na na
And i'll never pretend to
Na na na na na na na na na na na
You've always been soo true
Na na na na na na na na na na na
So I'll never forget you
0 Comments