Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na hatua inayofuata ya usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.
Wasailiwa wote wanatakiwa kufika na vyeti vyao halisi(Original Certificates).
0 Comments