Wasailiwa waliochaguliwa (SELECTED) kuendelea na usaili wanatakiwa kuzingatia muda na sehemu ya kufanyia usaili kama ilivyoainishwa kwenye tangazo la kuitwa kwenye usaili.
- Wasailiwa wote wanatakiwa kufika wakiwa wamevaa Barakoa (MASK)
- Wasailiwa wote wanakumbushwa kufika na vyeti vyao halisi (Original Certificate)
0 Comments