CECAFA Wabadilisha Makundi

 


Baada ya timu Tusker FC ya Kenya kukosa kibali kutoka chama cha mpira wa miguu Kenya sasa CECAFA imebadili na Sasa yatakuwa makundi mawili badala ya matatu kama ilivyotangazwa awali na mashindano yataanza August 01 jijini Dar.

Kundi A
1-Yanga SC (Tanzania)
2-Big Bullets (Malawi)
3-Express FC (Uganda)
4-Atlabara FC (Sudan Kusini)

Kundi B
1-Azam FC (Tanzania)
2-KCCA (Uganda)
3-Messager Ngozi FC (Burundi)
4-KMKM (Zanzibar)



Post a Comment

0 Comments