-Afisa mhamasishaji wa klabu ya Yanga Antonio Nugaz amesema kuwa baada ya Yanga kufungwa na Simba kwenye mchezo wa Fainali ya ASFC hakulala siku tatu na hadi alifikia hatua ya kulazwa baada ya mchezo.
"Iliniotea kweli ile, imeniuma, sijalala siku tatu, Yanga inauma usichukulie poa, Yanga kwangu mimi sio kazi ni maisha nikiwa ndani ya Yanga na nikiwa nje ya Yanga" .
Alisema Antonio Nugaz
0 Comments