Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Makambako anawatangazia Waombaji wa nafasi za Kazi ya Mtendaji wa Kijiji Daraja Il waliokidhi vigezo(Sifa) Kuhudhuria Usaili utakaofanyika siku ya Jumatatu tarehe 12/07/2021(Usaili wa kuandika Written Interview) na siku ya Jumatano Tarehe 14/07/2021 /(Usaili wa Kuongea Oral Interview) Kuanzia saa 2:00 Asubuhi katika Ukumbi wa Shule Ya Sekondari Makambako.
0 Comments