Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji ni mojawapo ya Halmashauri tisa za Mkoa wa Pwani. Kwa upande wa kaskazini imepakana na Halmashauri za Wilaya za Kisarawe na Kibiti, upande kusini imepakana na Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa kwa upande wa Mashariki imepakana na Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti, Kwa upande wa Magharibi imepakana na Mkoa wa Morogoro.
0 Comments