Deal Done: Haruna Niyonzima amerejea nyumbani..

 


Haruna Niyonzima amekamilisha usajili wake wa kujiunga na Miamba ya soka jijini Kigali, AS Kigali FC kwa mkataba wa mwaka mmoja baada ya kumaliza muda wake wa kuitumikia Yanga SC ya Tanzania.

Niyonzima alikuwa nahodha wa klabu hiyo ya ligi kuu nchini kwao Rwanda baada ya kuondoka Simba mwaka 2019 lakini alirejea Yanga kukamilisha kukaa kwake nchini Tanzania na sasa amerejea nyumbani..

Post a Comment

0 Comments