Ratiba ya Cecafa Kagame Cup 2021 Hii Hapa.

 


Ratiba ya Cecafa Kagame Cup 2021 imetoka huku 🇹🇿 ikiwakilishwa na Yanga, Azam na KMKM.


Agosti 1: 

KCCA FC v KMKM SC (Chamazi Stadium)

Agosti 2: 

Azam FC v Tusker FC (Chamazi Stadium)

Young Africans v Express FC (Mkapa Stadium)

Agosti 3: 

Le Messager Ngozi v KCCA FC (Chamazi Stadium)

Agosti 4: 

Altabara v Azam FC (Chamazi Stadium)

Nyasa Big Bullets v Young Africans (Mkapa Stadium)

Agosti 5: 

KMKM SC v Le Messager Ngozi (Chamazi Stadium)

Agosti 6: 

Tusker v Altabara (Chamazi Stadium)

Express FC v Nyasa Big Bullets (Mkapa Stadium)

Post a Comment

0 Comments